
Tanzania yasaini Mkataba wa Kihistoria wa Kimataifa wa WIPO
Tanzania yaungana na nchi wanachama wa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO) kupitisha na kusaini Mkataba wa kihistoria wa kimataifa kuhusu Miliki Ubunifu, Rasilimali za Kijenetiki na Maarifa ya Jadi. Mkataba huo unalenga kulinda haki za wenyeji asilia na jamii za kijadi katika kuhakikisha matumizi ya rasilimali za kijenetiki na maarifa ya jadi katika tafiti…