
Wananchi watakiwa kushirikiana kusimamia maadili Machomane
Pemba. Wananchi wa Mji wa Machomane Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, wametakiwa kushirikiana na viongozi wa dini kurejesha maadili kwa vijana, yanayotajwa kuporomoka. Kiongozi wa Jumuiya ya Kiislamu Jai, Shekh Khamis Mwadini ametoa kauli hiyo leo Jumapili Mei 26, 2024 wakati akizungumza na wananchi hao katika mkutano wa kujadili mporomoko wa maadili unavyouathiri…