
WORLD VISION TANZANIA, KIVULINI WATOA ELIMU YA LISHE, AFYA NA UKATILI WA KIJINSIA
Afisa Lishe Shirika la World Vision Tanzania Jane Mushi akitoa elimu kuhusu masuala ya lishe wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga Meneja wa Mradi wa GROW ENRICH (Wilaya ya Kishapu na Shinyanga) kutoka World Vision Tanzania, Shukrani Dickson akitoa elimu kuhusu masuala ya lishe na afya wakati wa maadhimisho…