Malengo ya Ibada ya Hija katika Uislamu

Dar es Salaam. Hijja ni nguzo ya tano katika Uislamu, ibada hii inabeba maana na malengo makubwa yanayowafanya Waislamu kuwa na shauku kubwa ya kuitekeleza. Miongoni mwa malengo hayo ni yafuatayo: Mojawapo ya malengo ya kwanza yanayodhihirika wazi, ni vazi la Ihramu, ambalo huvaa hujaji, kupitia vazi hilo humkumbusha makazi ya mwanzo ya kuelekea Akhera,…

Read More

Azam yaifuata Simba fainali Muungano

USHINDI wa mabao 5-2 ilioupata Azam FC dhidi ya KMKM, umeifanya timu hiyo kufuzu fainali ya Kombe la Muungano, michuano inayofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Azam imepata ushindi huo kupitia mabao ya Abdul Sopu dakika ya 7 na 42, huku wafungaji wengine wakiwa ni Nathaniel Chilambo (dk 9), Iddy Seleman (dk 49)…

Read More

Imani ya Simba imebaki Kwa Mkapa 

Tukutane kwa Mkapa ndicho mashabiki wa Simba wanaweza kusema kutokana na hesabu zilivyo kwa timu yao baada ya kupoteza jana, Jumapili kwa mabao 2-1 huko Algeria dhidi ya CS Constantine kwenye mechi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika katika hatua ya makundi. Katika mchezo huo ambao ulichezwa kwenye Uwanja wa Mohamed Hamlaoui mjini Constantine,…

Read More

Kelvin John apata timu Denmark aondoka Genk

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kelvin John (20) ameondoka Club ya KRC Genk ya Ubelgiji na kwenda kujiunga na Club ya Ålborg FC iliyopanda daraja na sasa itacheza Ligi Kuu Denmark msimu wa 2024/2025. Kelvin John inaripotiwa kuwa amesaini Mkataba wa miaka minne wa kuitumikia Aalborg FC na sasa msimu ujao…

Read More

ICC yatoa hati kuwakamata Netanyahu, kiongozi wa Hamas

The Hague. Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) wametoa hati ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, waziri wa zamani wa ulinzi, na kamanda wa kijeshi wa  wanamgambo wa Hamas. Kwa mujibu wa hati hiyo iliyotolewa leo Alhamisi, Novemba 21, 2024, wengine wanaotakiwa kukamatwa ni waziri wa zamani wa ulinzi wa Israel,…

Read More