
Waziri Kikwete azindua miongozo mitatu, mifumo ya ajira
Dodoma. Serikali imezindua miongozo mitatu na mifumo miwili ambayo inalenga kuondoa malalamiko ya kiutendaji kwa watu wanaoomba ajira na kuweka wazi taarifa zote zinazohusu masuala ya ajira. Miongozo na mifumo hiyo imezinduliwa leo Ijumaa, Agosti 22, 2025 jijini Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwan Kikwete….