BALOZI NCHIMBI KUFANYA MKUTANO WA HADHARA LINDI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi leo alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Lindi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Mpilipili, Mjini Lindi. Balozi Nchimbi na msafara wake, atapokelewa rasmi asubuhi ya leo katika Ofisi za CCM za Mkoa huo, ambapo atafanya kikao na Kamati ya siasa na baadaye…

Read More

NDO HIVYO: Usajili unavyoneemesha, kutafuna wachezaji

TUNASHUHUDIA maisha ya wanasoka yakianza kubadilika mara wanaposaini mikataba ya kuchezea timu kubwa za Ligi Kuu za nchi mbalimbali kama ya Tanzania Bara, ambako timu vigogo  ni Azam, Simba na Yanga. Mchezaji aliyekuwa na maisha ya kawaida huanza kuonekana ananunua gari dogo na baadaye kununua kiwanja na mwaka mwingine anaonekana anaanza kujenga. Miaka yake mitano…

Read More

Kampeni ya msaada wa kisheria yazinduliwa rasmi Iringa

Uzinduzi wa Kampeni ya kitaifa ya msaada wa kisheria kwa wananchi ya Mama Samia Legal Aid umefanyika rasmi Mkoani Iringa katika uwanja wa Mwembetogwa uliopo Manispaa ya Iringa ambapo wananchi wameaswa kujitokeza kupata huduma za kisheria katika masuala yanayowasumbua. Mgeni rasmi katika shughuli hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Ibrahim Ngwada akimuwakilisha Mkuu wa…

Read More

Watu 13 wazuiliwa baada ya kukamatwa na mbuzi wakidaiwa kutaka kutoa dhabihu huko Jerusalem

Watu 13 wamezuiliwa karibu na Mlima wa Hekalu la Jerusalem wakiwa na wana-kondoo na mbuzi ambao walikusudia kuwatoa dhabihu katika ibada ya Kibiblia ya Pasaka, polisi walisema katika taarifa. Katika tukio moja, mbuzi alipatikana akiwa amefichwa ndani ya gari la kubebea watoto, huku mshukiwa mwingine akijaribu kusafirisha mbuzi kwenye eneo la kumweka ndani ya begi…

Read More

Joto Zanzibar laitesa Berkane | Mwanaspoti

WAKATI  kikosi cha RS Berkane kutoka Morocco kikijipanga kuivaa Simba SC katika fainali ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika, hali ya hewa ya Zanzibar inaonekana kuwatesa Waarabu hao. Kwa siku kadhaa tangu kuwasili kwao Zanzibar usiku wa Alhamisi wiki hii, hali ya hewa inayofikia nyuzi joto zaidi ya 32°C mchana imekuwa kero kwa kikosi…

Read More

WIZARA YA AFYA SOMALIA YAICHAGUA MSD KUSHIRIKIANA KATIKA MNYORORO WA UGAVI BIDHAA ZA AFYA

 Na Mwandishi Wetu WIZARA  ya Afya nchini Somalia imeichagua  Tanzania kupitia Bohari ya Dawa (MSD) kushirikiana kwenye masuala mbalimbali yanayohusu mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya kwa  kubadilishana uzoefu katika maeneo ya mifumo, ununuzi, usambazaji na udhibiti ubora. Hayo yamebainishwa na watendaji wa Wizara ya Afya kutoka nchini Somalia waliotembelea Bohari ya Dawa (MSD),…

Read More

Sababu Desemba kuwa na ajali nyingi zatajwa

Dar es Salaam. Mfululizo wa matukio ya ajali katika kipindi cha mwisho wa mwaka, umehusishwa na wingi wa vyombo vya usafiri barabarani, madereva wa magari binafsi kukosa uzoefu na barabara nyembamba. Hayo yamesemwa wakati ambao, taarifa mbalimbali zinaonyesha katika kipindi cha wiki tatu, watu 35 wamepoteza maisha, huku 38 wakijeruhiwa kutokana na matukio ya ajali…

Read More