
Wadau wapendekeza ubunge wa viti maalumu ufutwe
Mwanza. Wadau wa siasa wamependekeza kufutwa kwa nafasi za ubunge wa viti maalumu kwa kile kinachotajwa nafasi hizo zinachangia ukatili, hazileti dhana ya usawa wa kijinsia na kuigharimu Serikali zaidi ya Sh200 bilioni kila baada ya miaka mitano. Pendekezo hilo limetolewa leo Jumamosi, Mei 25, 2024 katika mdahalo wa wazi wenye lengo la kujadili mchakato…