Walinda amani hupata silaha za jiko kusini mwa Lebanon, kwani ukame unatishia mamilioni – maswala ya ulimwengu

Jumanne na Jumatano wiki hii, walinda amani na Kikosi cha mpito cha UN huko Lebanon (UNIFIL) waligundua vizindua vya roketi, ganda la roketi, raundi za chokaa, fusi za bomu na handaki iliyo na vifaa katika matukio tofauti katika sekta Mashariki na Magharibi, msemaji wa UN Stéphane Dujarric aliwaambia waandishi wa habari huko New York. Matokeo…

Read More

Simba yakomaa na kiungo CS Sfaxen

WEKUNDU wa Msimbazi wamekosa kila kitu msimu huu katika mashindano ndani ya nchi, ambapo katika michuano yote wamepishana kidogo na makombe, kwani Ligi Kuu Bara wangeshinda mechi ya mwisho basi muda huu shamrashamra zingekuwa katika Mtaa ya Msimbazi, Dar es Salaam. Vivyo hivyo pia wiwapo chama hilo la kiungo Elie Mpanzu na Jean Charles Ahoua…

Read More

Wanne wakamatwa kwa tuhuma za mauaji ya ofisa TRA

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya dereva la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Iman Simbayao aliyefariki dunia jana Ijumaa Disemba 6, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, Kamanda Jumanne Muliro…

Read More

Mabingwa sekta ya afya watengewa Sh. 14 bilioni

  WATAALAM 544 wa kada ya afya, katika nyanja ya sita ikiwamo ya watoto wachanga, afya ya akili, magonjwa yasiyoambukiza kama ya moyo na matibabu ya ubongo na mishipa ya fahamu, wametengewa Sh. 14 bilioni kujiendeleza kielimu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Aidha, nyanja nyingine ni ugunduzi wa magonjwa ikiwamo patholojia, huduma za utengamao…

Read More

HONGERENI KWA KUWEKA REKODI KWA MKAPA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Alhamis, 11 Julai 2024, amefungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Watendaji na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), wilaya zote na mikoa yote, nchi nzima, yanayofanyika katika Chuo cha UVCCM Ihemi, mkoani Iringa. Baada ya kuwasili chuoni hapo, Balozi Nchimbi amepokelewa…

Read More

Wazazi watakiwa kutoa kipaumbele kwa maendeleo ya watoto

Na. Leah Mabalwe, HAZINA Diwani wa Kata ya Hazina, Samwel Mziba, amewataka wazazi pamoja na walezi kuwa kipaumbele katika maendeleo ya watoto wao shuleni. Mziba, alisema hayo wakati wa kikao cha walimu pamoja na wazazi kilichofanyika katika Shule ya Msingi Mlezi kwa lengo la kuzungumzia maendeleo ya lishe bora kwa wanafunzi wa shule hiyo. “Kwanza…

Read More

Diwani wa CCM Kakonko auawa akitoka sokoni

Kakonko. Diwani wa CCM Kata ya Kiziguzigu, Mwalimu Martin Mpemba, amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa kichwani na kitu chenye ncha kali. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Aprili 3, 2025, katika Kijiji cha Ruyenzi, Kata ya Kiziguzigu, akiwa njiani kurejea nyumbani kutoka sokoni. Mwalimu Mpemba, ambaye alikuwa akiwakilisha CCM katika kata hiyo, anadaiwa kushambuliwa…

Read More

Kero tano zinavyopigiwa chapuo na wagombea urais

Dar/Mikoani. Upatikanaji duni wa huduma ya maji safi na salama, migogoro ya ardhi, miundombinu, uhaba wa ajira na kipato kwa wananchi, ndizo changamoto zilizoteka vinywa vya wagombea urais wa vyama mbalimbali vya siasa ndani ya siku tano za mwanzo za kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Tayari kampeni hizo zimeshafanyika katika mikoa ya Dar…

Read More