
RAIS SAMIA AZINDUA VITABU VYA KISWAHILI KOREA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu vitabu vya Kiswahili kwa wasiozungumza Kiswahili mara baada ya kuvizindua kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024. Kushoto ni Mwalimu wa Kiswahili Ubalozini Tunu Magembe ambaye ndiye Mtunzi wa Kitabu hicho. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…