
Chatanda amshukia Makonda, madai ya unyanyasaji wa mtumishi wa kike
Dodoma. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake ya CCM, (UWT), Mary Chatanda amelaani na kuchukizwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kinachodaiwa kumdhalilisha mtumishi wa Serikali mwanamke wa mkoa huo. Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma wakati wa semina ya wabunge wa viti maalumu, manaibu waziri,…