Kishindo cha Shinyanga mapokezi ya Nchimbi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili na kupokelewa rasmi Mkoa wa Shinyanga, leo tarehe 9 Oktoba 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu katika maeneo mbalimbali ya wilaya za mkoa huo.   Balozi Nchimbi ambaye ameambatana na Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel…

Read More

Wasira: Mtuamini tuendelee kuwaletea maendeleo

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho kinafanya kazi kubwa ya kuleta mabadiliko ili kuwaletea maendeleo wananchi.Aidha, amesisitiza wananchi waendelee kukiamini na kukipa nafasi kiendelee kudumisha amani kwa kuwa maendeleo hayatapatikana iwapo itatoweka.Wasira ameeleza hayo alipokuwa akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM kutoka Jimbo la Mbeya, akiwa…

Read More

Udom wahamasisha matumizi teknolojia za kisasa kuongeza tija kwenye kilimo

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Dodoma Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimewahamasisha wakulima kutumia mbinu na teknolojia mbalimbali za kilimo, mifugo na uvuvi walizozibuni kwa lengo la kuongeza tija na kukuza sekta ya kilimo. Akizungumza kwenye Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayofanyika kitaifa jijini Dodoma, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Udom, Rose Mdami, amesema…

Read More

WANAHARAKATI WALIA NA UKANDAMIZAJI WA HAKI YA MWANAMKE KWENYE SEKTA YA AFYA, UCHUMI NA UONGOZI

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WANAHARAKATI wa Jinsia na Maendeleo wameiomba Serikali kuingilia kati na kutatua changamoto zinazowakabili wanawake katika sekta ya afya, uchumi, na uongozi ikiwemo ukandamizaji wa haki kwa mwanamke. Akizungumza leo,Novemba 13,2024 katika ofisi za Mtandao wa jinsia TGNP Mabibo-Jijini Dar es Salaam, Mwanaharakati wa jinsia na Maendeleo, Sharifa Hassan ameiomba serikali…

Read More

Hizi hapa sababu Mtanzania kushindwa kumiliki nyumba

Dar es Salaam. Kukosekana kwa sera ya nyumba, mikakati na gharama kubwa za ujenzi ni miongoni mwa sababu zinazowafanya Watanzania wengi wakiwemo vijana kushindwa kumiliki nyumba bora na salama. Hayo yamebainishwa kwenye utafiti wa ‘Ukuaji wa Nyumba katika miji ya Afrika jinsi ya kujenga makazi kunavyoendesha ukuaji wa miji na uchumi’ uliofanywa nchini Tanzania na…

Read More

JP Magufuli sio daraja tu, ni ufunguo wa kiuchumi

Moja ya alama kuu za juhudi za Serikali katika kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi, ni Daraja la JP Magufuli, ambalo awali liliitwa Kigongo Busisi. Ujenzi wa daraja hili umekamilika kwa asilimia 100 na sasa linakwenda kuzinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 19, 2025. Mabadiliko ya jina la daraja hilo lenye urefu wa kilomita 3.2…

Read More