
Ujenzi wa barabara watajwa kuwakosesha wananchi maji
Unguja. Wakazi wa Mtumwajeni, Mkoa wa Mjini Magharibi wamesema katika shehia hiyo hawapati huduma ya maji kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa, bila kuelezwa tatizo na mamlaka inayohusika. Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti Mei 24, 2024 wamesema siyo tu kukosa huduma, bali maji yanapotoka huwa na uchafu jambo linalohatarisha afya zao. Hata hivyo,…