VIJANA SHIKAMANENI KULINDA AMANI YA NCHI YETU- DKT. BITEKO

 Asema Teknolojia Isitumike kama Jukwaa la Uhalifu  Serikali Yaendelea Kushirikisha Vijana katika Masuala ya Maendeleo  Asisitiza kuwa Kijana Bora Hujenga Taifa Bora la Kesho Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa rai kwa vijana nchini kuwa na mshikamano na kudumisha…

Read More

CHALINZE YAFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA

Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha Bw. Stanley Kibakaya, akitoa elimu ya fedha kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kutumia taasisi za fedha zilizosajiliwa wanapochukua mikopo ili kuwawezesha kuondokana na mikopo umiza pamoja na umuhimu wa kuzingatia mapato na matumizi ili wajiwekee akiba, wakati Maafisa wa Wizara ya Fedha walipokuwa wakitoa elimu ya fedha…

Read More

VIJANA CHANGAMKIENI FURSA NA JIEPUSHENI NA MIHEMKO – RC FATMA.

Vijana Mkoani Kagera pasina kujali itikadi zao za Kidini wala Kisiasa wameusiwa kuchangamkia Fursa mbalimbali zinazojitokeza katika Mkoa wa Kagera ikiwemo Fursa za Kilimo, Ili kiondokana na wimbi la umaskini unaowasababisha Kuingia katika mihemko isiyokuwa ya lazima. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Abubakari Mwassa akiwa Mgeni Rasmi wakati wa Uzinduzi…

Read More

Nahodha APR atajwa Azam | Mwanaspoti

TAARIFA kutoka Rwanda zinabainisha nahodha wa kikosi cha APR FC, Claude Niyomugabo anatakiwa na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao. Beki huyo wa kushoto mwenye umri wa miaka 26, alikuwa mchezaji muhimu wa APR katika msimu uliomalizika hivi karibuni wakati timu hiyo ikitwaa mataji mawili ambayo ni Ligi Kuu ya Rwanda na Kombe la…

Read More

Mpole apewa kazi ya kuimaliza Singida Black Stars

KOCHA wa Pamba Jiji, Goran Kopunovic ameonyesha kuwa na matumaini na safu ya ushambuliaji inayongozwa na George Mpole licha ya kutofunga katika michezo mitatu iliyopita ya Ligi Kuu Bara. Mserbia huyo anaamini safu hiyo inaweza kuonyesha makucha leo Jumanne kwenye uwanja wa nyumbani wa CCM Kirumba, Mwanza itakapoikaribisha Singida Black Stars inayoongoza msimamo wa Ligi…

Read More