
Wanne wadakwa kwa kusafirisha punda 46 nje ya nchi
Jeshi la Polisi kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Longido mkoa wa Arusha limewakamata watuhumiwa wanne pamoja na mifugo aina ya punda 46 wakisafirishwa kinyume na taratibu kwenda nje ya nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yamebainishwa leo Jumamosi na Kamanda wa…