
Furahika yaweka mikakati ya kutoa Bima ya Afya bure kwa wanafunzi
Kaimu Mkuu wa Chuo Cha Mafunzo ya Ufundi Stadi cha Furahika Dkt.David Msuya akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani ,jijini Dar es Salaam. *Yatoa kongole kwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kufingua milango katika ufadhili wa elimi nchini Na Chalila Kibuda,Michuzi Tv CHUO cha Ufundi Stadi cha Furahika kimejipanga kuwakatia Bima ya Afya wanafunzi…