
China yakamilisha luteka zake za kijeshi karibu na Taiwan – DW – 25.05.2024
Mazoezi hayo yalizinduliwa siku tatu baada ya Rais wa Taiwan Lai Ching-te kuchukua madaraka na kutoa hotuba ya kuapishwa ambayo China iliishutumu kama “tangazo la uhuru”. Jumla ya ndege 111 za China na dazeni za meli za wanamaji zilishiriki katika mazoezi karibu na kisiwa hicho cha kidemokrasia, kulingana na wizara ya ulinzi ya Taiwan. Jeshi…