
Kigogo… Pacome tatizo Aziz KI
JAMAA aliyemleta kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua nchini ametazama kiwango cha mchezaji huyo kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa na kusema kinachomzuia staa huyo kuonyesha makali yake zaidi ni nafasi anayocheza. Pacome ambaye amekuwa mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Yanga kuanzia amejiunga na kikosi hicho alionyesha kiwango cha juu kwenye mechi iliyopita na kutoa pasi mbili…