
JOWUTA , THRDC WALAANI WANAHABARI KUKAMATWA NA KUPIGWA
………………… Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Wafanyakazi katika Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binaadamu nchini (THRDC) wamelaani kuanza kuibuka matukio ya waandishi wa habari na watangazaji kukamatwa na baadhi kupigwa na hata kuharibiwa vifaa vyao vya kazi na vyombo vya dola. Kauli ya kulaani imetolewa leo Aprili 25…