
Wanazuoni wataja vijana, umasikini mustakabali wa amani Afrika
Dar es Salaam. Uongozi bora, taasisi imara na uwezeshaji wananchi kiuchumi, ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa msingi wa ulinzi wa amani na usalama wa Afrika. Sambamba na mambo hayo kwa mujibu wa wabobezi wa diplomasia, ushirikishwaji wa vijana katika ulinzi wa amani, ni jambo lingine muhimu kwa usalama wa bara hili. Licha ya mitazamo…