
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 29,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 29,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 29,2024 About the author
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam August 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 27, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Na Mwaandishi Wetu Mtwara VIJANA waliojiriwa kupitia programu ya kilimo ya Jenga Kesho Iliyobora (BBT) kama maafisa ugani Mkoani Mtwara wameeleza mkakati wao wa kufanikisha lengo la serikali kuzalisha korosho tani 700,000 mwaka 2025/2026. Maafisa hao waliajiri na Bodi ya Korosho Nchini (CBT) kupitia programu ya BBT ili kutoa huduma za kilimo, elimu na mbinu…
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud ametaja maeneo saba yanayohitaji kufanyiwa marekebisho haraka kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mambo hayo ni haki ya kisheria ya kuwapatia wananchi vitambulisho vya Mzanzibari (Zan ID), uandikishaji wa haki ndani ya daftari la kudumu la wapigakura (PVR), kuondoa na kudhibiti wapigakura mamluki pamoja na…
Dodoma. Serikali imefungua milango kwa Watanzania wanaokabiliwa na changamoto ya kulea watoto wao, ikiwataka kuwapeleka kwa utaratibu maalum ili waweze kupokelewa na kulelewa badala ya kuwatelekeza mitaani au kuwatupa. Mpango huo unalenga kuwahudumia wanandoa waliofarakana pamoja na wazazi waliotelekezwa na wenza wao katika suala la matunzo ya watoto. Hata hivyo, mpango huo umeweka ahueni kwa…
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, moto uliteketeza maeneo kadhaa ya Hospitali ya Kamal Adwan, ikiwemo maabara na idara ya upasuaji. Jeshi la Israel lilidai kuwa hospitali hiyo ilikuwa ikitumiwa na wapiganaji wa Hamas kama kituo cha operesheni zao, lakini halikutoa ushahidi wowote kuthibitisha madai hayo. Wakati huo huo, jeshi hilo lilieleza kuwa moto mdogo…
Magu. Wakazi 12,000 wa Kijiji cha Kabila wilayani Magu, Mwanza wataanza kunufaika na mradi wa maji uliotekelezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) na shirika lisilo la kiserikali la (AFRIcai), ikiwa ni jitihada za kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa eneo hilo. Mradi huo wenye thamani ya Sh215 milioni, unahusisha ufungaji wa pampu…
Last updated May 29, 2025 Rais Donald Trump Mahakama ya shirikisho nchini Marekani imesitisha ushuru mkubwa uliowekwa na Rais Donald Trump hatua ambayo ni pigo kubwa kwa sehemu muhimu ya sera zake za kiuchumi. Mahakama ya Kimataifa ya Biashara iliamua kwamba sheria ya dharura, ambayo Ikulu ya White House iliitisha, haimpi…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Kimataifa la Sauti ya Nigeria (VON), Jibrin Baba Ndace ametembelea Studio za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na kujionea maboresho ya kisasa ya studio hizo. Jibrin amepokelewa na mwenyeji wake, Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba Chacha na kumtembeza katika studio hizo za kisasa zilizopo Barabara ya…
Kilolo. Kwa sauti ya majonzi huku machozi yakimtoka na kushindwa kujizuia, Redigunda Kimaro ameeleza namna anavyoishi kwa tabu na mwanawe Delvin Magova (wiki mbili) mwenye tatizo la kichwa kikubwa, baada ya kukosa fedha za kwenda Hospitali ya Benjamin Mkapa kwa matibabu zaidi. Mgongo wazi na kichwa kikubwa ni ulemavu ambao mtoto huzaliwa nao, chanzo kikiwa…