Dk Migiro aeleza ahadi ya CCM kwa wananchi
Unguja. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dk Asha-Rose Migiro, amesema chama hicho kitaendelea kuonesha mshikamano wa kisiasa na kijamii kwa wananchi katika kusimamia utekelezaji wa sera na ilani zake ili kuimarisha maendeleo ya Taifa. Amesema hayo leo, Septemba 8, 2025 wakati akizungumza na wanachama na wapenzi wa CCM katika mapokezi ya kumkaribisha…