
Pati la kibingwa lipo Kwa Mkapa, mchongo mzima upo hivi
YANGA kesho wanaanza bata rasmi la ubingwa kwenye Uwanja wa Mkapa. Ni zamu ya Dijei kuwaleta chini ya gwaride na saluti za aina yake watakazopigiwa na wachezaji wa Tabora United.Liwake inyeshe, watakabidhiwa kombe lao la Ligi Kuu Bara na burudani zitakuwa za aina yake tangu asubuhi mpaka usiku. Cha kushtua zaidi ni kwamba ndio mechi…