
WAZIRI MKUU AZINDUA ALBINO MOBILE APP
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amezindua ‘Albino Mobile App’ ambayo ni program ya simu janja itakayowezasha usajili na ukusanyaji wa taarifa za watu wenye Ualbino na wenye Ulemavu kwa njia ya kidigitali. Aidha, amesema Mfumo wa Albino Mobile App ni sehemu ya Mfumo wa Kitaifa wa Taarifa za Watu…