
KMC yatangaza kumrejesha Awesu akitokea Simba
Klabu ya KMC imetangaza kumrejesha kikosini kiungo Awesu Awesu aliyekuwa akiichezea timu hiyo msimu uliopita kabla ya kuelezwa amesajiliwa na Simba na kutangazwa Julai 17, 2024. Licha ya kutangazwa Simba kama mchezaji mpya atakayekitumikia kikosi hicho cha wekundu kwa msimu wa 2024\25, usajili huo ulikuwa na dosari, kwani KMC ilidai bado ana mkataba na wanakino…