
Hilika arudi na bao, JKU hahishikiki Zenji
BAADA ya kuzikosa mechi mbili za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kutokana na kuwa na majukumu ya timu ya taifa, Taifa Stars iliyokuwa Saudia kucheza mechi mbili za kirafiki, straika Ibrahim Hamad ‘Hilika’ amerejea katika ligi hiyo kwa kishindo baada ya jana kufunga bao la 15 msimu huu. Wakati Hilika alifunga bao hilo lililokuwa la pekee…