Wezi walioniibia warejesha vitu wakilia kilio cha ajabu!

Vijana katika kutafuta maisha tunapitia mambo mengi sana, hadi unaona mtu anafanikiwa kimaisha sio jambo rahisi, unapaswa kumpongeza maana amepitia mambo mengi sana. Jina langu ni Alen kutokea Dar es Salaam, nimeajiriwa katika kampuni ya Ulinzi, ni kazi ambayo ina changamoto sana lakini nashukuru ndio hasa inaendesha maisha yangu hadi kuniondoa katika maisha ya umasikini….

Read More

Kampuni ya Vodcell yatakiwa kuilipa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu shilingi milioni 362 ndani ya siku saba

KAMPUNI ya Vodcell yaelekezwa kuilipa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu shilingi milioni 362 ndani ya siku saba ikiwa ni fedha za ushuru wa zao kwa Halmashauri hiyo. Maelekezo hayo yametolewa na Mhe. Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo akiwa kwenye ziara yake katika Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Mkoani Shinyanga tarehe 15 Septemba 2024. Aidha, Waziri…

Read More

Rehema: Ngumi hadi u-dj, konda, bodaboda

KATIKA mfululizo wa Mwanaspoti kukuletea simulizi tamu za mabondia wa ngumi za kulipwa, tumefunga safari hadi Bagamoyo mkoani Pwani kukutana na bondia Rehema Abdallah wa Sharifa Boxing Gym. Siyo bondia mwenye jina katika mchezo wa ngumi lakini ndiyo bondia anayeshikilia rekodi ya kucheza mapambano mengi bila ya kupoteza kwa lugha ya majahazi tunasema ‘undefeated’ Imetuchukua…

Read More

Raia wa China aomba kubadilishiwa mahabusu, Mahakama yamjibu

Dar es Salaam. Raia wa China, Li Hao, anayekabiliwa na mashtaka ya kujipatia Sh752 milioni kwa njia ya udanganyifu, ameiomba Mahakama imbadilishie mahabusu ya Keko na impeleke Segerea ili iwe rahisi kwake kupata mawasiliano kutoka kwa raia wenzake. Hao, anakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kujipatia Sh752 milioni kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha kiasi…

Read More

Ahadi za Mwinyi kwa bodaboda, wakulima na wajasiriamali

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, amesema akipata ridhaa nyingine ya kuongoza, watawekeza nguvu kubwa kuyainua makundi ya wajasiriamali, huku bodaboda wakiundiwa ushirika wa kumiliki pikipiki zao wenyewe. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo, Septemba 16, 2025, wakati akizungumza na makundi ya bodaboda, wakulima wa viungo na wajasiriamali…

Read More

TUHAKIKISHE VIJANA WANAPATA MAFUNZO YA UFUNDI STADI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwawezesha kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri na kuchangia maendeleo ya Taifa. Akizungumza mara baada ya kukagua karakana za kujifunzia zilizopo katika…

Read More