
Ugonjwa wa vikope watesa Pwani
Kibaha. Watu 1,627 waliokutwa na ugonjwa wa vikope kwenye halmashauri tatu za Mkoa wa Pwani wameendelea kupata matibabu ili kuepuka upofu. Idadi hiyo imebainika kufuatia utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya ikishirikiana na taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Sightsavers yenye makao yake makuu nchini Uingereza. Hayo yamebainishwa na Mganga Mkuu wa mkoa wa Pwani Dk…