
Trump aridhia kuwa mgombea urais wa Republican – DW – 19.07.2024
Katika hotuba yake ya dakika 90, Trump ametoa ahadi kemkem kwa wapiga kura wake ikiwa ni pamoja na kumaliza migogoro ya kimataifa, kutekeleza operesheni kubwa zaidi ya kuwatimua wahamiaji katika historia ya Marekani. “Nitamaliza kila mzozo wa kimataifa ambao umeanzishwa na utawala wa sasa, ikiwa ni pamoja na vita vya kutisha kati ya Urusi na…