
Hukumu kesi ya madai ya mwanamuziki Lameck Ditto dhidi ya DSTV Julai 16
Mwandishi Wetu Hukumu ya kesi ya madai ya mwanamuziki Lameck Ditto dhidi ya kampuni ya Multchoice Tanzania Limited maarufu DSTV itatolewa Julai 16. Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bwakeya alifungua kesi ya madai Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam mwaka 2020 akiiomba Mahakama hiyo iamuru kampuni Multichoice Tanzania imlipe fidia ya Sh…