
ZAIDI YA WAFANYABIASHARA 100 KUHUDHURIA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI ISRAEL
Na Pamela Mollel,Arusha Zaidi yawafanyabiashara na wajasiriamali 100 kutoka nchini wanatarajia kuhudhuria jukwaa maalumu la kimataifa linalohusu maswala ya uwekezaji nchini Israel kwa ajili kubadilishana uzoefu na fursa za miradi ya uwekezaji zinazoweza kutekezwa na wataalamu hao katoka nchi hizo mbili. Wafanyabiashara hao wanatarajia kukutana katika mji wa Tel-aviv nchini Israel june 8 hadi 14,…