
Biden, Ruto waahidi kulinda demokrasia Afrika na kwingineko – DW – 24.05.2024
Ziara ya Ruto ndiyo ya kwanza ya kiserikali kufanywa na rais wa Afrika katika Ikulu ya White House tangu 2008, na inaashiria umuhimu wa bara hilo ambalo la watu bilioni 1 na lina uhusiano wa karibu wa kibiashara na China, lakini likiwa nyuma ya vita vya Ukraine na Gaza kwenye ajenda ya Washington. Siku ya…