
Vijana elfu 45 kujikomboa kiuchumi KUPITIA ujasiriamali
Imeelezwa kuwa ukosefu wa ajira Kwa vijana ni chanzo Cha vijana wengi nchini kujiingiza katika vitendo vya kihalifu ikiwemo Wizi,utumiaji dawa za kulevya na magenge yasiyofaa na kupelekea wengine kuishia katika vifungo jela. Katika kukabiliana na changamoto hiyo ya ajira zaidi ya vijana elfu 40 kutoka Dar es Salaam,Morogoro na Zanzibar wanatarajia kunufaika na kujikomboa…