Watumishi wawili wa Bodi ya Maji wasimamishwa kazi Siha

Siha. Watumishi wawili wa Bodi ya Maji Magadini Makiwaru, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuwaunganishia huduma ya maji wananchi 63 kinyume cha utaratibu. Watumishi hao ambao ni mafundi wa bodi hiyo, wanadaiwa kuwaunganisha wananchi hao kwenye huduma ya maji bila kuwajumuisha kwenye mfumo wa malipo, jambo lililosababisha upotevu wa mapato…

Read More

Wabunge wataka hatua za ziada kudhibiti tembo

Dodoma. Wabunge wametaka mikakati ya ziada kukabiliana na tembo wanaovamia maeneo ya makazi, ikiwamo kuwavuna wanyama hao. Hatua hiyo ilitokana na maelekezo yaliyotolewa na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson baada ya mbunge wa Mbarali, Bahati Ndingo kutoa hoja bungeni kuhusu wanyama hao Aprili 30, 2024. Mbunge huyo amesema tembo waliingia katika makazi ya watu…

Read More

Hakuna Madini ya Tanzanite yatatoka mirerani bila kupitia Tanzanite exchange centre -Waziri Mavunde

Waziri wa madini Antony Mavunde amekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa zikidai kuwa jengo linalojengwa la billion tano halitatumika tena kufanya biashara ya madini ya Tanzanite pamoja na kuongeza thamani ya madini hayo huku akisema Rais ameongeza fedha ambazo zinaingia leo na litajengwa hadi kufikia asilimia 99 Mavunde akizungumza na wafanyabiashara wa madini,wachimbaji na wadau wengine wa…

Read More

RC akemea Beach boy kunyang’anya wake za watalii ZNZ

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Rc Ayoub Mohammed Mahamoud amekasirishwa na kukemea kwa tabia iliokisiri kwenye fukwa za Bahari za kusini na Zanzibar kwa Baadhi ya Ma Beach Boys kupora wake wa Watalii wanaoingia nchini kwa shughuli za kitalii jambo ambalo limekua likikasirishwa watalii waingia nchini Rc Ayoub ameyasema hayo kwenye semina ya waongoza…

Read More