Jiji la Mbeya laagiza meneja, mkandarasi mradi wa Sh21 bilioni kuondolewa

Mbeya.  Halmashauri ya Jiji la Mbeya limeiagiza  Kampuni ya Cico kuwaondoa maneja mradi, Penfeng Wang na Mkandarasi Mshauri, Jofrey Kanjanja kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao na kusababisha miradi kusuasua. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamis Mei 23, 2024 ofisini kwake, Meya wa Jiji la Mbeya, Dourmohamed Issa amesema wamelazimika kuchukua hatua hiyo baada ya kufanya…

Read More

MNH-MLOGANZILA KUWA KITUO CHA UMAHIRI KATIKA HUDUMA ZA UPASUAJI REKEBISHI

  Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amesema Muhimbili itaendelea kuwajengea uwezo wataalam wake kwakuwa malengo yaliyopo kwa sasa ni kuifanya Muhimbili Mloganzila kuwa kituo kikubwa cha umahiri katika huduma za upasuaji rekebishi katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Prof. Janabi amesema hayo alipokutana na timu ya wataalam wa upasuaji kwa lengo…

Read More

Biteko awataka makatibu mahsusi kujiendeleza, kuwa kielelezi cha huduma bora

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa makatibu mahsusi nchini  kujiendeleza kitaaluma ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia sambamba na kuboresha utendajikazi wao. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Ameyasema hayo leo Alhamisi Jijini Mwanza wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kufungua Mkutano wa 11 wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi. “Kama mnavyofahamu…

Read More

Someni mikataba msikimbilie kusaini – TIRA

Na Mwandishi Wetu, Arusha Wadau wa Sekta ya Madini nchini wametakiwa kusoma na kuelewa mikataba mbalimbali wanayopewa katika makubaliano kabla ya kuisaini hususani katika taasisi za Bima. Hayo yamesemwa leo Mei 23, 2024 na Meneja wa Kanda ya Kaskazini TIRA, Bahati Ogolla katika Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini linaloendelea…

Read More

Biteko: Mfanyeni kila anayekuja ofini kwenu aondoke na furaha

Mwanza. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka waandishi na waendesha ofisi (makatibu mahsusi) kuacha kauli za kuvunja moyo wananchi wanapofika kwenye ofisi zao kutatuliwa shida na changamoto wanazopitia. Akifungua mkutano mkuu wa 11 wa kitaaluma wa Chama cha Waandishi na Waendesha ofisi tanzania (Tapsea), jijini Mwanza leo Alhamisi Mei 23,…

Read More

Yanga ikimuacha tu, anatua msimbazi

DURU za ndani kabisa, zinasema Simba imenasa antena zake Jangwani ambako lolote linaweza kutokea kati yao na Kennedy Musonda wa Yanga. Habari zinasema kwamba Yanga huenda ikaachana na Musonda muda wowote baada ya kumalizana na gwaride la ubingwa ili nafasi yake wanunue chuma kingine wanachodai kina takwimu za kuvutia. Kumbuka Musonda ambaye ni raia wa…

Read More