
MAJALIWA ATAKA WAVAMIZI WA ARDHI KUCHUKULIWA HATUA KAMA JINAI NYINGINE
Na Munir Shemweta, WANMM Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa amezitaka taasisi zinazoshughulika na masuala ya ya jinai kuhakikisha zinachukua hatua dhidi ya wavamizi wa ardhi kama jinai nyingine. Mhe. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo tarehe 23 Mei 2024 katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba na Waziri wa Nchi…