
Kwa nini gesi ya Urusi bado inatiririka kuelekea Ulaya? – DW – 17.08.2024
Licha ya vikwazo iliyowekewa Moscow na Umoja wa Ulaya, hali hii bado halijabadilika na gesi ya Urusi bado inaendelea kuwasili katika mataifa ya Ulaya, hata baada ya vikosi vya Ukraine kuonekana kuchukua udhibiti wa kituo cha kupimia gesi karibu na mji wa Urusi wa Sudzha katika harakati za Kyiv za kusonga mbele katika eneo la Kursk…