Tanzania mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Uvuvi barani Afrika (AFRICA SMALL SCALE FISHERIES SUMIT 2024)

Katika jitihada za dhati za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha nchi inakuza uchumi wake, kupitia rasilimali ya maji iliyonayo almaarufu kama Uchumi wa Buluu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeandaa mkutano mkubwa wa Uvuvi baraniAfrika (AFRICA SMALL SCALE FISHERIES SUMIT 2024) utak aohusisha mataifa mbalimbali ya Afrika, utakaofanyika Tanzania. Mkutano huu unalenga …

Read More

GGML inavyookoa walemavu dhidi ya dhana potofu

MKOA wa Geita ni mmoja wa mikoa ya Kanda ya Ziwa ambayo imeathiriwa na imani za kishirikina. Kila juhudi zimefanyika kuwaelimisha wananchi kuachana na imani potofu kwamba viungo vya watu wenye ulemavu vinasaidia kuvuna rasilimali madini ya dhahabu. Anaandika Gabriel Mushi… (endelea). Serikali na asasi za kiraia zilitumika nguvu ya ziada kuelimisha umma kuachana na…

Read More

Mchengerwa aagiza Tarura wapatiwe Sh250 milioni

Morogoro. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Mohamed Mchengerwa amemuagiza Katibu Mkuu kuipatia Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura) Sh250 milioni za dharura kwa ajili ya kujenga daraja la muda la Mbuga katika mto Luhombero pamoja na ukarabati wa daraja la waenda kwa miguu la Chigandugandu wilayani Ulanga, Mkoa wa Morogoro yaliyoharibiwa kutokana na…

Read More

‘Fuatilieni maendeleo ya watoto mashuleni’ Waziri Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wafuatilie mienendo ya watoto wao waendapo shuleni ikiwemo na mahudhurio na masomo yao darasani. “Serikali inaendelea kuimarisha mahudhurio ya watoto shuleni kwa kuzungumza na wazazi ili kuhakikisha kila mzazi anasimamia mahudhurio ya mtoto wake, kwenda shule, kuingia darasani, lakini anaporudi nyumbani, mzazi afuatilie mwenendo wa masomo ya…

Read More

Dabo anafanikiwa hapa Azam FC

AZAM FC imejipata kiukweli dakika hizi za lala salama za ligi kuu na ingawa imeshindwa kutwaa ubingwa, ipo katika uwezekano mkubwa wa kumaliza katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 63 sawa na Simba ambayo nayo ina idadi hiyo ya pointi. Hata hivyo, Azam iko nafasi ya pili kwa vile ina…

Read More