
Falsafa ya 4R kuubeba uchaguzi wa Mbeya
Mbeya. Mbeya ni miongoni mwa mikoa 26, inayotarajiwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa ajili ya kuwapata wawakilishi wa wananchi ngazi ya vijiji, mitaa na vitongoji. Haki, usawa na amani ndiyo misingi inayotazamwa kufanikisha uchaguzi huo kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa huo, Juma Homera. Uchaguzi huo umepangwa kufanyika Novemba 27, 2024, ikiwa ni…