MIRADI YA BIL 164 KUTEMBELEWA NA MWENGE WA UHURU GEITA
Mkoa wa Geita leo September mosi umepokea mwenge wa uhuru ukitokea mkoani Mwanza ambapo unatarajiwa kukimbizwa kwa umbali wa km653 za halmashauri 6 za mkoa wa Geita. Akipokea mwenge huo Mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigela amesema kuwa Jumla ya halmashauri 6 za mkoa wa Geita zitapitiwa na mwenge huo huku jumla ya miradi…