DK.NCHIMBI AWAOMBA WANANCHI SHINYANGA KUMPIGIA KURA ZA KISHINDO ZA URAIS DKT.SAMIA,WABUNGE NA MADIWANI.

Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi  akiwahutubia Wakazi wa mji mdogo wa Isaka wilayani Kahama, jimbo la Msalala,kwenye mkutano mdogo wa hadhara leo Alhamis Septemba 3,2025,mkoani Shinyanga. Pamoja na mambo mengine Dkt Nchimbi pia aliwanadi wagombea Ubunge,akiwemo Mgombea Ubunge wa Jimbo la Msalala Mabula Johnson Magangila pamoja…

Read More

Watatu waliohukumiwa kifo wakwaa kisiki Mahakama ya Rufaa

Arusha. Mahakama ya Rufaa imebariki hukumu ya kunyongwa hadi kufa waliyokuwa wamehukumiwa watu watatu baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Peter Mwita kwa kumshambulia kumpiga na  matofali, vijiti, mbao na  chuma. Ilidaiwa siku ya tukio, pacha wa Peter, Zumba Mwita (shahidi wa tatu wa Jamhuri) alipopita eneo lililokuwa likiendelea kujengwa na warufani hao wakifanya…

Read More

Tabora United yasaka kipa, Chilunda ndani

UONGOZI wa Tabora United umeingia sokoni kusaka kipya mpya baada ya tegemeo namba moja, Fikirini Bakari, kuvunjika taya katika mechi ya kirafiki dhidi ya Yanga iliyowafunga mabao 4-0 katika Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam. Chanzo cha Mwanaspoti kimesema Bakari aliyemaliza akiwa na ‘clean sheet’ moja aliyoipata akiwa Fountain Gate kabla ya kujiunga wakati dirisha…

Read More

Profesa Kitila: Mimi ni mtumiaji mzuri Vodacom na Mwananchi

Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amesema anaziheshimu na kuzithamini kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa umuhimu wake kijamii na kitaifa.  Katika kuthibitisha hilo amesema yeye ni ni msomaji mzuri wa habari zinazotolewa na kampuni ya Mwananchi kila uchwao na pia ni mtumiaji wa Vodacom…

Read More

Mwili wa Askofu Rugambwa wapokelewa Bukoba

Bukoba. Mwili wa Askofu Rugambwa, aliyekuwa Balozi wa Papa nchini New Zealand, umepokelewa na mamia ya waumini wa Kanisa Katoliki mkoani Kagera, uwanja wa ndege wa Bukoba ukiwasili kutoka Dar es Salaam. Mwili huo umewasili saa 6:17 mchana kwa ndege ya kampuni ya Air Tanzania. Baada ya kupokelewa uwanja wa ndege, umepelekwa makao makuu ya…

Read More