Taarifa kwa vyombo vya habari

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuanzia Desemba 2023 hadi tarehe 22 Mei 2024 limekuwa na Operesheni kali  maalum  ikihusisha kamisheni mbalimbali za Polisi ikiwemo ile ya kisayansi na kuwezesha kupatikana kwa magari 12 ya wizi ambayo tayari yamekwisha  tambuliwa na wamiliki baada ya uchunguzi pia bajaji 5 zimepatikana. Katika operation hii…

Read More

Marekani kuitaja Kenya “mshirika wake mkuu” wa nje ya NATO – DW – 23.05.2024

Rais Ruto yuko ziarani nchini Marekani kwa siku tatu. Biden, pamoja na mambo mengine, anatarajiwa kulitaja taifa hilo la Afrika Mashariki ambalo si mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO kuwa mshirika wake mkuu, wakati Kenya ikijiandaa kupeleka vikosi nchini Haiti kama sehemu ya juhudi zinazoongozwa na Umoja wa Mataifa kushughulikia mzozo wa usalama nchini humo.  Kenya…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Kinachombeba Mgunda ni mahusiano mazuri

MAMBO yamebadilika ghafla ndani ya Simba na sasa inaonekana kuwa vizuri tofauti na wiki kadhaa zilizopita pindi ilipokuwa chini ya kocha aliyeondoka, Abdelhak Benchikha. Juma Mgunda anaonekana kuibadilisha ndani ya muda mfupi aliokaa kwa kuifanya icheze vizuri na kutawala mchezo huku ikipata matokeo yanayoridisha tofauti na ilivyokuwa siku za mwishoni za Benchikha ndani ya timu…

Read More

Watu 1,673 wamchangia Lissu Sh. 20 milioni kununua gari

WATU 1,673 wamechanga fedha zaidi ya Sh. 20 milioni kwa ajili ya kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, ili anunue gari jipya baada ya lile la awali lililoshambuliwa na watu wasiojulikana 2017, kuwekwa makumbusho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X,…

Read More