
Mahafali ya 54 UDSM : Prof. Anangisye Awasihi Wahitimu Kuleta Mabadiliko na Kutatua Changamoto za Jamii
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye, amewahimiza wahitimu wa chuo hicho kutokaa wanasubiri ajira za serikalini pekee, bali pia kuangalia fursa nyingine za kiuchumi kwa kutumia maarifa na ujuzi waliyojifunza. Akizungumza katika Mahafali ya 54 ya chuo hicho, Prof. Anangisye alisema elimu inawainua wahitimu na kuongeza thamani yao katika…