
Kimenya fundi aliyedumu Prisons miaka 11
KAMA ilivyozoeleka kwa wachezaji wengi kuongelea historia zao na kusema walikuwa na vipaji tangu utotoni,wengine wakienda mbali zaidi na kusema wapo watu waliowaridhi katika familia zao ambao wanacheza au walicheza soka huko nyuma. Lakini hii ya aliyekuwa Mwanafunzi wa ‘ New Era’ iliyoko Tabora Mjini ambako alikwenda kwaajili ya kupata Elimu ya Kidato cha Tano,akiwa…