Mhesa kurejesha majeshi Mtibwa | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji, Ismail Aidan Mhesa, yupo mbioni kurejea tena ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar, baada ya mkataba wa miezi sita na Geita Gold inayoshiriki Ligi ya Championship kuisha, huku kukiwa hakuna mazungumzo ya kuongeza mwingine. Nyota huyo alijiunga na Geita Gold katika dirisha dogo la Januari 9, 2024, akitokea Mashujaa aliyoitumikia kwa miezi sita…

Read More

Mlipuko kiwanda cha TOL Mbeya wasababisha hasara

Mbeya. Mlipuko ulitokea kwenye mtambo ya kaboni katika kiwanda cha gesi cha Tanzania Oxygen Ltd (TOL) kilichopo kwenye wilayani Rungwe, mkoani hapa umesababisha uharibifu mkubwa wa kiwanda hicho na miundombinu inayozunguka. Hata hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Daniel Warungu, amewahakikishia umma kuwa hakuna vifo wala majeraha makubwa yaliyotokea wakati wa tukio hilo na kwamba shughuli…

Read More

Vurugu ya Dk Kongo imesukuma 35,000 kwenda Burundi, inasema shirika la wakimbizi la UN – maswala ya ulimwengu

UNHCRShirika la Wakimbizi la UN, liliripoti Alhamisi kwamba Raia 35,000 wa Kongo sasa wamefika Burundi tangu mwanzoni mwa Februariwakati wapiganaji wa Rwanda wanaoungwa mkono na M23 wanaendelea kusonga mbele katika Kivu Kusini na Kaskazini. Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN (Ohchr) katika DRC pia alionyesha wasiwasi juu ya kuongezeka kwa sheria kama wakurugenzi wa…

Read More

Ukosefu wa elimu chanzo changamoto za afya ya uzazi

Unguja. Mojawapo ya sababu inayochangia vijana kuwa na changamoto kuhusu afya ya uzazi na hedhi salama ni ukosefu wa elimu, imeelezwa. Kutokana na hilo, jamii imesisitizwa kutoa elimu ya masuala hayo kwa vijana ili kupunguza vifo vya mama na mtoto. Kwa kufanya hivyo imeelezwa afya bora itaendelezwa ili kusaidia kuleta uelewa mpana kwao na kupanga…

Read More

Miradi ya Serikali Yataka Wachambuzi Wenye Maarifa Sahihi

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Wachambuzi wa masuala mbalimbali wamehimizwa kufanya tafiti ya kutosha kabla ya kufanya chambuzi zao ususani linapokuja suala la utekelezwaji wa miradi inayosimamiwa na Serikali ili kuepusha upotoshaji kwenye jamii  Hayo yamesemwa leo Agosti 30, 2025 Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta Binafsi na…

Read More

Pombe, energy ni balaa kwa ogani

Dar es Salaam. “Nimeshazoea, kwa sasa siwezi kufurahia kunywa pombe kali bila kuchanganya na energy drink (kinywaji cha kuongeza nguvu), pasipo kufanya hivyo ninahisi kama kinywaji changu kinapungua ladha,” anasema mmoja wa vijana akiwa katika moja ya maduka ya kuuza vinywaji jijini Dar es Salaam. Huyo ni mmoja kati ya vijana ambao wamekuwa na utaratibu…

Read More

SMZ yatekeleza malipo ya fidia kazini, 81 wanufaika

Unguja. Mwaka mmoja tangu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) ulipoanzisha skimu ya fao la fidia kwa wafanyakazi wanaopata majanga kazini, jumla ya wafanyakazi 81 wamenufaika. Skimu ya fidia ya ZSSF imeanzishwa mwaka 2023 kutokana na marekebisho ya Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar, Na.2 ya mwaka 2005 na Sheria ya Fidia…

Read More

ZAHARA MICHUZI ACHOMOZA UBUNGE VITI MAALUM TABORA

::::: KAMATI Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa imempitisha Mkurugenzi Mtendaji (DED) katika Halmashauri tatu tofauti, Meatu (Simiyu), Ifakara (Morogoro), na Geita (Geita Mjini) Bi. Zahra Muhidin Michuzi katika uteuzi wa awali wa wagombea nafasi za ubunge kupitia Viti Maalumu Wanawake katika Mkoa wa Tabora. Zahra Michuzi anachuana na wagombea nane (8) akiwemo Aziza Sleyum…

Read More