
WATU 11 WAMEFIKI DUNIA MTIBWA BAADA YA MLIPUKO KATIKA KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA
Na FARIDA MANGUBE MOROGORO Watu 11 wamefariki Dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada hitilafu iliyotokea katika mtambo wa mvuke wa kuzalisha umeme katika kiwanda Cha kuzalisha Sukari Mtibwa Suger kilichopo Tuliani Wilayani Mvomero Mkoa wa Morogoro Kwa mjibu wa Kamanda wa zimamoto na uokoaji Mkoa wa Morogoro, Shabani Marugojo amesema tukio hilo limetokea Saa 7:30…