
Wachambuzi: Siasa za machafuko hazikubaliki TZ
SIKU chache baada ya viongozi wakuu wa Chadema kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kukaidi agizo la kupiga marufuku kongamano la maadhimisho ya vijana duniani, wachambuzi wa masuala ya siasa wameonya viongozi hao wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini kuheshimu sheria za nchi kwani siasa za machafuko hazina masilahi kwa Taifa….