Masisita wafurahishwa na maono chanya ya Polisi,endepo maboresho yataendelea imani itakuwa kubwa

Maaisita kutoka Shule ya Mtakatifu Maria Goreti ya Mjini Moshi wamesema kwa sasa Jeshi la Polisi limekuwalikionekana kuanza kubadilika katika utendaji kazi wao huku wakibainisha kuwa endapo mabadiliko hayo yakoendelea imani kwa wananchi itakuwa kubwa zaidi kwa Jeshi la Polisi. Hayo wameyabainisha walipofika katika shule ya Polisi Tanzania kuhudhuria halflang ya kuvishwa Nishani ambapo walipata…

Read More

Tanzania, Msumbiji wajadili mikakati kuinua biashara, uwekezaji

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine Kasike amekutana na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji, Silvino Augusto José Moreno na kukubaliana kufanikisha ushirikiano katika sekta ya biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pia katika mazungumzo hayo yaliyofanyika jana Jumatano kwenye Ofisi…

Read More

TMA:  Hakuna tena tishio la kimbunga laly

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, kwa sasa hakuna tena tishio la kimbunga Ialy katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Taarifa ya TMA kwa ummya waliyoitoa saa 4:00 usiku wa jana Jumatano, Mei 22, 2024 ilisema wanahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga Ialy zilizokuwa zikizitoa tangu Mei 17, 2024. …

Read More

Mipango uondoshaji taka yaibua maswali

Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza kukerwa na kutotekelezwa baadhi ya mipango inayopelekwa barazani kila mara na baadaye kurejeshwa kama mipya. Pia, wawakilishi hao wakati wakichangia bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, wameeleza kukerwa na halmashauri kushindwa kuzoa taka, kitendo kinachotia…

Read More

Shirika latekeleza agizo ufungaji luku za maji

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikianza utekelezaji wa kuweka mita za malipo ya huduma za maji kwa kadiri mtu anavyotumia (Luku), Shirika la WaterAid limeanza kutekelezaji kwa kuwafungia wananchi mita hizo. Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Maji 2024/25 bungeni Dodoma Mei 9, 2024, Waziri Jumaa Aweso alisema kuwa matumizi ya mita za maji za malipo…

Read More