
Gramu 506.63 za heroin zawatupa jela maisha
Arusha. Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Masijala imewahukumu kifungo cha maisha jela watuhumiwa wawili baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin. Hukumu hiyo ilitolewa Februari 14, 2023 na Jaji Sedekia Kisanya na nakala yake kuwekwa kwenye mtandao wa Mahakama. Waliohukumiwa adhabu hiyo ni…