Huyu ndiye Rais wa mpito wa Iran

Wakati taratibu za mazishi ya Rais wa Iran, Ebrahim Raisi zikiendelea, Makamu wa Rais Mohammad Mokhber anayetarajiwa kurithi nafasi hiyo kwa mujibu wa katiba ya nchi hiyo, ameongoza mkutano wa dharura wa baraza la mawaziri.Raisi amefariki kwenye ajali ya helikopta jana Mei 19, 2024 akiwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo…

Read More

Waliovamia hifadhi ya Iluma kuondoka kwa hiari

Ulanga. Mkuu wa wilaya ya Ulanga, Dk Julius Ningu amesema hatua ya  kuwaondoa wananchi waliovamia eneo la hifadhi ya jamii ya Iluma iliyopo kijiji cha Mbuyuni kata ya Minepa wilayani humo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa bila ya kutumia nguvu kubwa ya vyombo vya dola. Akizungumza na Mwananchi, Dk Ningu amesema kabla ya kutoa agizo la…

Read More

CCK YAJIPAMBANUA KUSHIKA,KUZINDUA KIJICHI KESHO

………… Chama cha siasa cha Kijamii CCK kimesema moja ya kipaumbele chake katika kampeni za uchaguzi wa mwaka huu kitaweka mikakati mizuri kwa vijana ikiwemo kuboresha elimu imara itakayomsaidia mtanzania kuweza kujiajiri. Mwenyekiti wa Chama hicho na Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania David Mwaijojele amesema hayo leo wakati akizungumza jijini…

Read More

TIMU NNE KUKUTANA NUSU FAINALI ‘JAFO CUP’

Mwenyekiti  wa Kamati ya michuano ya Jafo Cup Ally  Mkomwa akikabidhi mpira na  jezi na  Kocha wa timu wa Kisarawe Muada Semkiwa Mhando kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi  wa mikutano  wa Halmashauri ya Kisarawe Mkoani Pwani leo Januari  16. Afisa Michezo Wilaya ya Kisarawe  Dalidali Rashid Na Khadija Kalili Michuzi TvTIMU nne zinatarajiwa kushuka dimbani…

Read More

Kibwana aomba kuondoka Yanga | Mwanaspoti

BAADA ya kupoteza namba katika kikosi cha kwanza chini ya Miguel Gamondi, beki wa kulia wa Yanga, Kibwana Shomari amedaiwa kuomba kuondoka klabuni hapo katika dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa mwezi ujao. Kibwana aliyeitumikia Yanga kwa misimu miwili kwa mafanikio chini ya Nasreddine Nabi amepoteza namba mbele ya Yao Kouassi, aliye majeruhi kwa sasa nafasi…

Read More

TCB yaahidi kuwezesha wakulima kuuza mazao Ulaya, Marekani

  BENKI ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali kwa kuhakikisha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo itakayowawezesha kuzalisha kwa tija mazao yao na kuyaongezea thamani yaweze kuuzwa ndani na nje ya nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Da es Salaam … (endelea). TCB imesema katika mkakati wake wa kupanua wigo…

Read More

RAIS AOMBOLEZA KIFO CHA NDUGULILE WAKATI WA KIKAO KAZI JIJINI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile aliyefariki dunia nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu, wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Ikulu ndogo Arusha tarehe 29 Novemba, 2024.  

Read More

Wazabuni wa vyakula shuleni waidai Serikali Sh21 bilioni

Dodoma. Madeni ya jumla ya Sh21.7 bilioni ya wazabuni wa vyakula katika shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2023/24 yamewasilishwa hazina kwa ajili kuhakikiwa na kulipwa. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Agosti 29, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainab Katimba alipokuwa akijibu swali la…

Read More