
Chongolo aja na mbinu mpya ujenzi vyoo bora kwa kaya
Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amesema anaanzisha mashindano ya ujenzi wa choo bora wilayani Momba na kaya itakayoibuka na ushindi itajipatia mifuko mitatu ya mbolea. Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku chache tangu Mganga Mkuu wa Mkoa huo, Dk Boniface Kasululu kufanya ukaguzi wa vyoo katika kijiji cha Mkutano wilayani Momba na…